Umepatia kabisa hata Demis anajuaNahisi nimepatia
Hahaha waooooh nyie wa kwetuNilkuwa namhonga magai shemej yako wa nyumban enzi hizo tena machachu unaweka kwenye chupa ukifungua sasa kama HEINEKEN ya moto
Nmefurahi sio siriUmepatia kabisa hata Demis anajua
kumbe basi nawe mie ni rafiki akoNmefurahi sio siri
Nlikuwa na rafiki ana jina kama lako nlisomaga nae
Kabisaaaaaakumbe basi nawe mie ni rafiki ako
Dah...sioni vipaja vya popo...wala vipapatio vya bundi hapo mezani...Uko kwa Prof Mshana jr kweli ? 😀😀😀😀😀Napata chai nitarud kuwatag kwenye comment mabilionea ya jfView attachment 813759
Sawa na karibuKabisaaaaaa
Kuanzia ss hivii
Hivi sijipendi mpaka nijibu hapa? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi Mshana hauwezi kugeuza makaratasi kuwa pesa kama wale wanamazingaombwe wa zamani?
Kwenye kikombe[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hiyo chai unanywea mgahawani au home?
Sio mdomoni?Kwenye kikombe[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapo kwenye kuwala mademu wa jf...nimecheka sanaWatu wenye mkwanja JF beleive me hua hawacoment jf hata kidogo. Hao ndio hutoa ajira kwa watu humu, hakuna aliyewahi kuajiriwa na Member maarufu ila ndio pia wanaongoza Kuwala mademu wa Jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mtanange ule wa wa usiku kucha ningewezaje kwa mfano[emoji39] [emoji85]Hahahahah nimecheka kwa saut lakin baee kwann sku ile hujaninywesha chaiii
Ndio ukweli mkuu. Wanawala sana sio uongoHapo kwenye kuwala mademu wa jf...nimecheka sana
[emoji15] [emoji23] [emoji115]JF ni zaidi ya Jamii forum
Hahaha aiseeWatu wenye mkwanja JF beleive me hua hawacoment jf hata kidogo. Hao ndio hutoa ajira kwa watu humu, hakuna aliyewahi kuajiriwa na Member maarufu ila ndio pia wanaongoza Kuwala mademu wa Jf
[emoji15] [emoji23]Sio mdomoni?
Wakubwa mnaongea[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mtanange ule wa wa usiku kucha ningewezaje kwa mfano[emoji39] [emoji85]