Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

Chunguza vzr wanaume wa dar hawachelewi kutumia vumbi ukajua anamapafu ya mbwa kumbe ya mende
 
kuna uzi kuna mjamaa anamaindi wana wasimtongoze mima,, mima mwenyewe ndo huyu mtoa mada nn?
 
Yani wadada wa siku hizi hatari yani umetokewa hata mwezi bado ushatobw dahhh kipindi chetu mpaka upewe chiu ni miaka dah mungu anawaona
Laana inasumbua siku ya mwisho utajibu nn??? Tubu na usafishe njia zako. Kwanza uzi wa hovyo sana huu.
 
Tupia japo kapicha cha hiyo "mikato michezo fulani pikaso"Sherii motema nangai...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bestyyy waambie bhna raha ya hizi makitu walau upigwe acrobatic za maana.. Hata paka hali panya aliejifia[emoji85] [emoji2]
 
Hivyo hukutaka kingine kwake we ulipojua tu ni sukari ya warembo basi ukamtunuku.

Ila na sisi wanawake tuna vituko yaani sukari uilambe wewe, sifa utuletee sisi mbona kama haiusiani.

Au ndio unajipiga promo.
Mtanii mwenzio kazidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…