Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko



Hawa ni wanaume wa ule mkoa pendwa na vitongoji vyake vya Pwani. Usiwachukulie maanani.
 
Sisi wengine huwa tunavizia akienda kisimani, kisha tunakata ngwala, alafu tuna gegeda tu.
Na hapo hauwezi kuta Ke anapiga kelele kwamba anabakwa, basi ujue ndio kisha kubali hivyo....tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uongo we mzee
 
Kwani kutongoza unatumia muda mrefu,unajua unapojiexpress hisia zako kwangu,kuna vitu vinaniteka akili lakini kutumia mbinu hizo hahahahaha nacheka kwanza
Muda mwingine utoe msaada namna ya wanawake wengi wanavyopenda tongozo liweje?

Mm sipend kutongoza mwanamke afu aniyumbishe sana, akija kukubali siwez kudumu nae.
 
Kuna uyo dokta wa hospitali flani,alitokea kunisaidia tu,na kuwa ananijulia hali naendeleaje,mara honey unaendeleaje,mara mpenzi Mara mke wangu...mm nikawa napotezea tu...sasa kuna siku nilikuwa narudi kwenye vipimo nikamwambia nakuja na mama,

Sasa Hapo Ndo Alinishangaza na kunivunja mbavu maana aliniambia
"Sawa Lkn Usimwambie Mama Kuhusu Mahusiano Yetu"

Nilibaki Najiuliza Huyu Nae Kanitongoza Lini,Wanaume kwa Kujibebisha!!! Muwe Mnafunguka Acheni Kujirahisishia....
 
Sema na wewe dada unafeli. Mpaka mtu mmeanza mazoea na kubadilishana hadi namba kuna jipya gani ambalo hujaelewa hapo? Au ndio unabalehe?

Kingine mfano huyo wa miamala anakutumia wewe unakula tu hela unategemea kuwa anatoa sadaka au?

Jiongeze wewe ndio tatizo na sio wanaume wanaokutaka.
 
Umesahau sisi ambao huwa hatukutongozi ila unajikuta tu ushaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…