Kuna mwingine anakusifia mara kiuno chembamba,mara macho mazuri,mara unatembea vizuri...yani ndio kamaliza hapo eti
Wanaume aseeee!
Nimecheka,sina mbavu aiseeeKuna uyo dokta wa hospitali flani,alitokea kunisaidia tu,na kuwa ananijulia hali naendeleaje,mara honey unaendeleaje,mara mpenzi Mara mke wangu...mm nikawa napotezea tu...sasa kuna siku nilikuwa narudi kwenye vipimo nikamwambia nakuja na mama,
Sasa Hapo Ndo Alinishangaza na kunivunja mbavu maana aliniambia
"Sawa Lkn Usimwambie Mama Kuhusu Mahusiano Yetu"
Nilibaki Najiuliza Huyu Nae Kanitongoza Lini,Wanaume kwa Kujibebisha!!! Muwe Mnafunguka Acheni Kujirahisishia....
Siku hizi tunafundwisha ukimtaka mwanamke we mpe hela tu kwahiyo msitulaumuKwa hiyo bora uniambie njoo lodge bila kunitongoza
Hahahahaha, yaani hivyo tu umetongozwa,anashindwa nini kuongea kiini?Sema na wewe dada unafeli. Mpaka mtu mmeanza mazoea na kubadilishana hadi namba kuna jipya gani ambalo hujaelewa hapo? Au ndio unabalehe?
Kingine mfano huyo wa miamala anakutumia wewe unakula tu hela unategemea kuwa anatoa sadaka au?
Jiongeze wewe ndio tatizo na sio wanaume wanaokutaka.
Nakupenda jinsi ulivyo, nikikunywa maji unabakia kwenye kikombe, usiku silali kila nikikuwaza....[emoji41][emoji41]Anza
Sawa mkuu, ila naamini wewe ni mtaalam haswa!Mkuu, misjawahi kuzoza wallah....[emoji6][emoji6][emoji6]
Nimecheka,sina mbavu aiseee
Hapana mkuu, wewe na wao mnanisingizia haki....[emoji22][emoji22]Sawa mkuu, ila naamini wewe ni mtaalam haswa!
Dah kudadeki yani kunitosa umenitosa na bado unanizibia rizki? [emoji4][emoji4]
Aiseee...
Sijawahi kumbana na hicho kimbunga mdogo wangu
Dalili ya mvua mawingu ukiona yametanda tafuta mwamvuliWanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli
Angalia hapa
1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa anakutumia pesa, hata bila kuomba unashtukia tu imethibitishwa,ukiuliza anakwambia nimekutumia tu,basi baada ya siku kadhaa anakwambia,nina hamu na wewe tukutane wapi ,au njoo Lodge Fulani au yaani hapo anataka gemu tu,unafikiria huyu mwanaume amenitongoza lini,D.D.D.D.D
2,Huyu mnakutana mnabadilishana namba,mnakuwa mnapiga stories za kawaida tu,siku moja anakuomba uende kwake kumsalimia,kufika anataka penzi,sasa unajiuliza umenitongoza lini yaani nachekaga wanaume wana mambo
3,Huyu yeye anaanza kukuita baby,sweet,love,mpenz,hata hajakutongoza,mwisho wa siku utakwambia njoo lodge fulani,unashangaa sasa huyu amenitongoza lini?
4,Huyu yeye anakutongoza na misifa juu,mara ajipigishe simu,anaulizia miradi,mara anauliza kuhusu gari lake ,hahahahaha,hapo anataka usikie alivyonavyo umkubalie mapema
5,Huyu yeye anakupenda,sijui anaogopa kukutongoza, anapenda sana kampani,kusindikizana njiani,baada ya siku kadhaa utasikia anawambia watu huyo ni dem wangu nilishakula zamani,hahahahaha yaani wanaume wanavituko jamani
Ongezea zingine.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna uyo dokta wa hospitali flani,alitokea kunisaidia tu,na kuwa ananijulia hali naendeleaje,mara honey unaendeleaje,mara mpenzi Mara mke wangu...mm nikawa napotezea tu...sasa kuna siku nilikuwa narudi kwenye vipimo nikamwambia nakuja na mama,
Sasa Hapo Ndo Alinishangaza na kunivunja mbavu maana aliniambia
"Sawa Lkn Usimwambie Mama Kuhusu Mahusiano Yetu"
Nilibaki Najiuliza Huyu Nae Kanitongoza Lini,Wanaume kwa Kujibebisha!!! Muwe Mnafunguka Acheni Kujirahisishia....
Pole kwa kusingiziwa mkuuHapana mkuu, wewe na wao mnanisingizia haki....[emoji22][emoji22]View attachment 1075966
Tufundishe namna ya kukutongoza!Wanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli