Kuna wanawake ambao wanatumia mizizi kuteka hisia za wanaume

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Vijana tuwe makini kuna wanawake wanatumia miti shamba kuteka hisia za wanaume. Na ndugu yangu akiteka hisia zako. Utagharamia chochote kuhusu yeye bila wewe kujijua
 
Vijana tuwe makini kuna wanawake wanatumia miti shamba kuteka hisia za wanaume
Na ndugu yangu akiteka hisia zako
Utagharamia chochote kuhusu yeye bila wewe kujijua
Yana mwisho wake hayo mambo wanayopenda kutumia.
 
Au na mi nisharogwa nini mbona napenda kizembezembe ivi?
 
Wanaotekwa ni wale wanaume legelege hasa wa kutokea ukanda wa pwani.
 
Vijana tuwe makini kuna wanawake wanatumia miti shamba kuteka hisia za wanaume. Na ndugu yangu akiteka hisia zako. Utagharamia chochote kuhusu yeye bila wewe kujijua
Ata usio mitishamba ni mapenz ya kweli2
 
Vijana tuwe makini kuna wanawake wanatumia miti shamba kuteka hisia za wanaume. Na ndugu yangu akiteka hisia zako. Utagharamia chochote kuhusu yeye bila wewe kujijua
Jinsia yake tafadhali asije akawa me
 
Hatari na itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…