Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Nataka nimuache ata huu mwezi upite kwanza[emoji4]
Kumbe utajirudisha?
Bora uendelee naye tu, hata ukimpa miezi 6 habadiliki huyo.

Kingine litaliwa hovyo hovyo na litakuletea magonjwa
 
POA POA mkuu[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii stor niliiona mchana nikasema nitaisoma usiku,..
Hivi deep pond nikuulize swali tu rahis ..(nahis nishakuulizaga)
Kwamba unakua na mchepuko ili akupooze sio akupe tena kashkash ....yaan unachepuka ili kupata utulivu WA nafsi ...Sasa Inakuja mchepuko ndo unaokupa heka heka????
 
Mi mwnyw nikifikaga Apo ndo namchukia mamaJ. Sema nyeg zikinipanda nammiss

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyu anakamchepuko ila kalikuwa kanamtumia tuu ndio maana ameamua kurudi back,
 
So leo umeshindwa kumtaja kuwa ni mama J,cha kumfamya mtu huyo ni kumpelekea moto na kumtunza vizuri
 
Huyo manzi huwezi kumuacha mkuu,hakuna sababu ya kuzinguana naye malizeni tu tofauti zenu mzee baba.
 
Mkuu Mimi Niko na wewe mpaka mama J akuue ama kwa mawazo, stroke, kisukari, pressure au akufanye uwe mental kbsa, Ujue Kuna Wakati huwa ninahisi ata wewe una maisha ya uswahili sana, tofauti na hapo Kuna kitu unafaidika nacho kwa huyo mwanamke japo kwa Siri sanaaa
 
Najua unawaza kulegeza Mzee baba,ila kabla ya kufuata Boxa na tsheti kaza kaza kidogo,uwe unaleta muendelezo wa sms zake humu,maana mpaka hapo umemshika pabaya.
 
Hahahhahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…