LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Zile mada zenu kuwa akija siku ya kwanza aliwe huwa mnadanganyana sana saa nyingine mnapoteza wanawake wa maana kwa tamaa zenu
Ishu ni hivi ukiona umekutana na mwanamke siku ya kwanza tu au ya pili kashaomba hela bas huyo na ww akija tu malizana nae yaani both team score, ila ukiona umefahamiana na mwanamke hata hela yako hajaomba wala kuweka tamaa huyo usiende pupa ukiharakisha umeharibu.
Baadhi ya wadada sio malaya na hawapendagi papara unakuta anakusoma tu kuwa mtulivu.