Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,067
Habari wapendwa,
Kuna wanawake wana bahati (nyota) za pesa jamani, kuna binti mmoja ninapokuwaga nina matatizo ya aina yoyote hasa ya kipesa humtafuta binti huyo kwa udi na uvumba nikutanapo nae tu kama ilikuwa usiku nasubiri kukuche tu lazima nipate pesa kwa njia za ajabu sana.
Cha kushangaza sina mapenzi nae kabisa humtafuta ninapobanwa na maisha, yule binti ni kama ana matatizo flani ya akili yaliyotokana na kifafa kinachomsumbua sana ambacho redio vijiweni wanasema wazazi wake ndio waliompa ili kulinda mali maana familia yao iko njema.
Nina miaka nae zaidi 20 lakini sijawahi kumuwazia wala kuwa katika akili yangu kwamba naweza kukaa nae kwangu hata wiki, ni mzuri kwa umbo mpaka sura ila sijui kwanini hayumo moyoni kufikia kilele tu inabidi huwa niwaze mbali sana
vinginevyo ni maumivu tu kwake.
Mimi ndo niliyemfyatua usichana miaka hiyo kupitia msichana wao wa kazi aliyeniunganisha nae maana kutwa kucha weekend walikuwa wako benet maana alikuwaga mteja wangu katika genge langu la mchele.
Kwa mazingira anayoishi na anavyochungwa mimi ndo ibilisi pekee niliyetupia na ninaendelea kutupia na siku nitumiapo nguvu nyingi mpaka nakutanae kimwili cha kushangaza wazazi wake wanajua hata kama wako safari.
Hii hunishangaza sana kama vile wamemuwekea (micro chip) na mwezi huo kwangu unakuwa mgumu nitatafutwa mjini kama jambazi lakini wakati huo napata pesa kwa njia za ajabu sana ni mamilioni hasa.
Mpaka niyumbe kuna miezi sita saba mbele kwao kunakuwa kumetulia, nikiyumba tena kidogo mambo hivyo hivyo walau kama ningekuwa nakutanae angalau hata mara tatu au mara 4 nahisi ningekuwa bilionea wakati mwingine huwa nahisi huyu binti ni jini binadamu.
Nifanyeje wana JF wenzangu maana saa hizi utawala wa jiwe nimeyumba sana najitahidi kukutana nae kwa kila mbinu mara nisikie wamempeleka Nairobi mara South yapata miezi tisa sasa wanamficha nisiweze kumpata, nahisi nikikutanae huwa wanayumba kwenye mambo yao kwa maana tunagawana.