Kuna wanawake wana bahati na nyota ya pesa


Vipi kuhusu hilo swala la kutengenezwa na wazazi wake mkuu, imekaaje issue ya namna hiyo mkuu.
 
Mseduce Mama'ke naye atakuwa na nyota ya pesa
 
Kaka msahana nashindwa kuelewa wanaume wa hivyo ni huwa hawaoni hizo bahati au ni kitu gani ? Maana nataman nikutane na mmoja wa design hiyo
 
Tatizo unamtumia dada wa watu kama msukule wa kusafisha nyota. Sawa umemtumia sana, lakin sasa wewe kaa unujue kabisa kama utaendelea na tabia yako hiyo mwisho wako unakaribia.

Either uache kabisa kumcheza mtoto wa watu umuoe, au uende usimchezee kabisa ili ufanikiwe hiyo ni dhambi sana.
 
hasa wenye ndevu nao nyota zao zinanga'a sana. Kuna mzee alishanidokeza kuwa ukitaka mafanikio tafuta mchmba/mke mnaofuatana majina mfano kama wewe jina linaanza na A basi yeye A-D, X iendane na YZ....kupata ukweli jitathmini kwenye uhusiano uliopo na mafanikio yako hala tafuta na mfano kwa ndugu cc Mshana jr. sijavuta tangia asubui.....
 
Kaka msahana nashindwa kuelewa wanaume wa hivyo ni huwa hawaoni hizo bahati au ni kitu gani ? Maana nataman nikutane na mmoja wa design hiyo
Kuna wachache wameziona na hawakufanya kosa
 
Nakubaliana na wewe 100% mkuu
 
Nimeona avatar tu [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…