Kuna wanawake wengine wanavituko sana.

fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Posts
2,984
Reaction score
1,031
Nilikuwa katika one of the largest shopping malls hapa napo ishi na MashaAllah kuna demu mmoja alikuwa mzuri sana ana figure sio la kawaida.

Nikawa namtazama sana , akageuka afu akapiga tabasamu akasema; You want!!!

Kama wewe mwanaume hapo utasema nini.

Siku njema.
 
Nadhani ungetuambia kwanza wewe (kama na wewe ni mwanamume) ulisema nini
 
sory me ni she , napita 2 hapa.
 
Nadhani ungetuambia kwanza wewe (kama na wewe ni mwanamume) ulisema nini
Mimi mwanaume lakini kabla sijajibu nilivyo jibu, nataka kuona wanaume wenzangu watajibu nini ndo mana nimeuliza.
 
ungemwambia nooooo, nafurahisha macho!!! :A S embarassed:
 
Mkuu, kitendo cha kumtazama sana, tayari umeisha 'tembea' naye moyoni. Ilikuwa imebaki tu formality kukamilisha 'mshedede'. Sasa mkuu angalia umepoteza bahati bure. Pole sana.
 
Napita tu! Nawahi bar!
Hizi tabia za kuishi kwa mazoea tuachane nazo mwaka huu, leo ni jumatatu muda huu unakwenda Bar kufanya nini? hata kama huna kazi ya kufanya ni bora ukae kwenye Internet uongeze maarifa na ufahamu.
 
Mkuu, kitendo cha kumtazama sana, tayari umeisha 'tembea' naye moyoni. Ilikuwa imebaki tu formality kukamilisha 'mshedede'. Sasa mkuu angalia umepoteza bahati bure. Pole sana.
Aisay yani sijui nitasema nini kwa Mungu.
 
Hizi tabia za kuishi kwa mazoea tuachane nazo mwaka huu, leo ni jumatatu muda huu unakwenda Bar kufanya nini? hata kama huna kazi ya kufanya ni bora ukae kwenye Internet uongeze maarifa na ufahamu.

kunxwa supu!
 
Ha ha haaaaaa, pengine huko bar ndo job kwake! Nalog off
 
alijua una fazaa ww, km jina lako.
Acha yote hayo, hem tutell wat did'u do man?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…