Yani hapo mimi nilijua nimekosea step.alijua una fazaa ww, km jina lako.
Acha yote hayo, hem tutell wat did'u do man?
ulinipiga wapi?utaniweza?yani hapo mimi nilijua nimekosea step.
Step nilizo jifunza pale ni kwamba huyo demu alikuwa akifanya joke na hata ningesema nataka ninge kosa na ninge chuma dhambi.
Step ingine nimejifunza usiwe unazubalia sana wanawake, kuna mambo mengi pale yatakutia aibu...huwezi kujua nani anakutazama unapo mtazama sana mwanamke vile, inawezekana yuko dada yako au mama yako pale au ndugu zako wanakuchora ulivyo bakia kuzabaa na ujinga wako.
Step nyingi tu mtu unajifunza na unapo pigwa swali la haraka haraka utajibu kwa kutumia akili au utaendeleza ujinga wako.
Nilicho fanya nili piga smile na nikasema ooops i'm so sorry my sister, i will try to behave myself next time.
nilikuwa katika one of the largest shopping malls hapa napo ishi na mashaallah kuna demu mmoja alikuwa mzuri sana ana figure sio la kawaida.
Nikawa namtazama sana , akageuka afu akapiga tabasamu akasema; you want!!!
Umezidi na wewe kukodolea watu macho! Alitaka kukuzindua tu kwenye ndoto ya kumpata uliyokuwa unaota!
Kama wewe mwanaume hapo utasema nini.
Siku njema.
Ha ha haaaaaa, pengine huko bar ndo job kwake! Nalog off
Inabid hii tabia ni-iwache haraka sana.
Uliona wapi binadamu wanajifunza yalio pita.....Jana ni Jana na Leo ni Leo.Jana umejisifia nayo, leo uneiona haifai!!
Well atleast una tuCommon sense. . . hongera!!
Uliona wapi binadamu wanajifunza yalio pita....Jana ni Jana na Leo ni Leo.
Afu weka akilini ile point na hii unadhani ziko sawa unless uwe unafananisha bata na kuku.
Yule demu hakuniuliza mimi mbona unanitzama sana, kaniuliza unataka!!!!
Umeona tofauti yake au bado.
Alikutukana ila wewe ndio hukujuwa na yeye kiingereza haelewei vizuri!
You = wewe
Want= Taka
kwahiyo alimaanisha wewe ni Taka Taka, maana ulikuwa unamwangalia sana!!
Aisay nimekupa ushindi uking'ang'ania kitu umekin'gan'gania...Hongera sana.
kunxwa supu!
Ingependeza zaidi kama ungesema nakwenda kupata Breakfast, by the way supu sio lazima uende Bar, hata kwenye Restaurant na cafe supu zinapatikana + kwa mama ntilie.kunxwa supu!
Nilikuwa katika one of the largest shopping malls hapa napo ishi na MashaAllah kuna demu mmoja alikuwa mzuri sana ana figure sio la kawaida.
Nikawa namtazama sana , akageuka afu akapiga tabasamu akasema; You want!!!
Kama wewe mwanaume hapo utasema nini.
Siku njema.
umezidi kukodolea watu mimacho. Alikuwa anakuzindua tu kwenye ndoto ya kumpata uliyokuwa unaota
Kiingereza cha wapi hichi? au cha Metropotania?Mi ningemwambia Yes i want you
Kiingereza cha wapi hichi? au cha Metropotania?