Kuna wanawake wengine wanavituko sana.

mnnnnh naona jf imerudi enzi za bibi na wajukuu zake mana hadithi ni nyingi sana siku hizi
 
Fazaa bado hujaacha wewe? kisha nimekumiss sana mwenzio, hebu nitafutie Ijah mana nishatafuta sana moshi siuoni humu.:eyebrows:
Hahaha huyo utamuona vipi humu na yeye kabaki na moshi wake pale moshii.

Ukimuona msalimie sana mwambie mwenzake nilikuwa nasumbuka kutafuta Bs sasa iko mfukoni naongoje kuanza next step.

Ukiniona napotea potea ujuwe masomo mengine hayasomeki inabidii utafute na waganga ndo elimu inapanda kichwani.

Nimefurahi sana aisay kukusikia umenikumbusha mbali....Happy new year.
 
Fazaa bado hujaacha wewe? kisha nimekumiss sana mwenzio, hebu nitafutie Ijah mana nishatafuta sana moshi siuoni humu.:eyebrows:

na wewe ni yupi huyo?mi namtafuta mangeka umemuona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…