TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Muswano mdau.
Pichani ni moja ya ndizi tamu sana ijulikanayo kama malindi, ndizi hii ambayo huwa inakuwa na vidoadoa vidogo hutofautisha ndizi hii tamu na zile nyingine pichani chini.
Nchini Zanzibar, serikali ya mapinduzi Zanzibari iliwahi kupiga marufuku uagizaji na kuingiza mazao na miche ya ndizi kutoka Tanganyika a.k.a (Tanzania Bara) kutokana na kilichosemwa magonjwa.
Baada ya zuio hilo lilokaaa muda mrefu kuisha, nadhani iliruhusiwa kimya kimya na gafla nikasikia kutokea hapa manerumango kijiweni kuwa, sasa ndizi kutoka bara zimeignia Zanzibari.
Jambo moja la ajabu sana, nikiwa chai maharage nikipata experience hiyo, tulifika sehemu junction kama chalinze pale, hapo wanauza mahindi ya kuchoma, ndizi nk.
Basi bana kuna mtu alikuwa ananunua hizo ndizi akiwa ndani ya gari, basi jamaa sijui katokea wapi akaanza kuziponda kuwa zimeletwa zikiwa na madawa na sumu.
Bila ajizi jamaa wawili walirudisha kwa muuzaji na mmoja alikuwa nazo kwenye gari nikaona anaanza kujiraumu kwa nini kununua.
Soma Pia: Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa
Ukweli ile taarifa sikuipenda na sijui kama walio wengi wanafuatilia taarifa rasmi za serikali au kuuliza kwa viongozi wao kama masheha nk.
Serikali ya mapinduzi Zanzibar, toweni taarifa rasmi kuepusha kadhia kwa wananchi wa kawaida wasiyo fuatilia habari mbalimbali.