Maprof wa TZ wanajulikana mishahara yao. TZSH millioni mia moja azitoe wapi kama si uongo. Saana saana wanahonga marks.Una uhakika kweli alikataa 100M?
Hata mapasta huongelea eneo kama hilo lakini wanagegedea humo humo kwa uongo wa kuagizwa na Mungu!Yes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
ChaiiiHabari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.
Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle. Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.
Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,
Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.
Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.
Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
Kuna uhuni Mwingi sana siku hizi kwenye hayo madhabahuYes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
Watu huwa wanadhani Yesu alikuja duniani kuzurura. Haiwezekani uwe ndani ya Yesu katika Roho na Kweli halafu mwili wako uwe dampo la kila taka. Never!Habari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.
Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle. Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.
Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,
Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.
Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.
Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
Ndo haohao wanaouziwa maji ya kichupa kwa milioni mkuu usishangae.Una uhakika kweli alikataa 100M?
Kuna Wanawake humu 10,000 tu hawaachi, Subiri wakushukie kama Nyuki.Habari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.