demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kama ilivyo wekwa bayana hapo awali.
Hakuna namna unaweza kumfunga Al Ahly kwake, tena kwenye game ya mtoano isitoshe zaidi kwenye michuamo ambayo bingwa anabeba pesa nyingi.
Tujipongeze kwa kushiriki, lakini hakuna timu ya kushindana.
Wenzenu Yanga wanajua namna ya kucheza games za mtoano. Nyinyi bado mko kwenye stage ya kushangilia sare home game.
Siri ambayo wanajangwani tunaifahamu kwenye mechi za mtoano ni kumkanda mtu goli za kutosha hapa homeground. Halafu tunaenda kurelax away.
Nyie mapopoma kila siku mechi zenu za mtoano inaishiaga Dar tu. Game ikiisha kila mtu anakuwa na matokeo ya nani anasonga mbele kwenye hatua inayofuata.
Cairo inaenda kujaa full house. Lile straiker lililotola Borrusia Dortmund yaani Anthony Modeste litaenda kuanza game hiyo wakati huo huo atikabwa na uchochoro Che Malone. Beki kisiki
Ni upuuzi kuamini kuwa unaenda kumfunga AL Ahly kwao. Tena ni upuuzi wa kiwango cha lami//
Asanteni wa kuwa washiriki wema, acha washindani wakashindane.

Ali Maâloul anaenda kujumuishwa kikosini ikiwa huku ajacheza.