Kuna Washindani wasio na mdomo. Kuna Washiriki Wenye Midomo

Tuwe na akiba ya maneno
 
"Siri ambayo wanajangwani tunaifahamu kwenye mechi za mtoano ni kumkanda mtu goli za kutosha hapa homeground. Halafu tunaenda kurelax away."

Tukumbushe matokeo na USM Algiers, Al Hilal, na Rivers united au ndiyo unaendelea kututhibitishia wenye akili ni wawili tu!!?
 
Baada ya kubanwa percy tau mmehamia kwa malouli
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
USM Alger mlimkanda goli nyingi home ground ?

Vipi Al Hilal naye mlimkanda goli nyingi home ground ?.

Kumbe kweli nyinyi gongowazi ni hamnazo.
 
Ni mpumbavu asiyejua mpira anayeamini Kuna timu haiwezi kufungwa.

Ubongo umejaa kamasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…