BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Kuna watu sijui midomo yao ina nini, hata asiposukutua mwezi mzima lakini mdomo wake haunuki hata chembe.
Akiamka asubuhi kinywa safi hadi raha, hakuna maharufu ya panya kuoza.
Yaani hata asipopiga mswaki ni ananukia mdomoni marashi matupu.
Kuna wale wenzangu na mimi wananuka midomo kama wamekula samadi au mbolea.
Hata wasukutue mara mia lakini midomo inatema cheche za moto.
Hii imekaaje?
MY TAKE: Tupige miswaki mara mbili kwa siku.