BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Hivi ni kwanini? [emoji23][emoji85]Wiki ya kunuka mdomo jf
Hao ni wajuzi wa usafi wa kinywa.Hao ndio wenzako wakunuka mdomo ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina jambo na wewe pls nakuomba PmWiki ya kunuka mdomo jf
Kupiga mswaki pekee haitoshi. Ni vyema kufikia kituo cha afya iwapo hali bado ni mbaya licha ya jitihada za kuswaki mara kwa mara.MY TAKE: Tupige miswaki mara mbili kwa siku.
Naona kama ukiachana na mambo ya siasa, mada nyingi zinakua na ufanano kwa kipindi flan then zinatowekaHivi ni kwanini? [emoji23][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23] upepoNaona kama ukiachana na mambo ya siasa, mada nyingi zinakua na ufanano kwa kipindi flan then zinatoweka
🤔🤔🤔🤔wewe! Uko serious, mbona kama nimeingia uoga gaflaNina jambo na wewe pls nakuomba Pm
Hili nalo neno.Kupiga mswaki pekee haitoshi. Ni vyema kufikia kituo cha afya iwapo hali bado ni mbaya licha ya jitihada za kuswaki mara kwa mara.
Kapewe hela.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]wewe! Uko serious, mbona kama nimeingia uoga gafla
hamna bas tu nimeingia upepo! Sema ngoja nikamsikilizeKapewe hela.
Ila wewe jamaa una vituko😀..eti umeingia upepo🤣🤣🤣🙌hamna bas tu nimeingia upepo! Sema ngoja nikamsikilize
Hi siyo kitimoto kweli jamani..!!??? Umenisababisha nikaisake wallah..!!
😁😁Najijua na purukushani nyingi kwenye comments nsije nkawa nimeandika kitu afu kikafanya nijulikane ntakua nimezingua parefu kinyamaIla wewe jamaa una vituko😀..eti umeingia upepo🤣🤣🤣🙌
eee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Najijua na purukushani nyingi kwenye comments nsije nkawa nimeandika kitu afu kikafanya nijulikane ntakua nimezingua parefu kinyama