Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Nakweli 😂😂😂Umesahau wale wa mikesha kwenye nyumba za Mungu
Madereva malori na IT nje ya nchi!Kawaida ni kwamba kila kiumbe atahesabiwa, labda uamue mwenyewe vinginevyo kwa makusudi….. ila huko sijui gesti sijui kwenye mabasi kote huko taarifa huchukuliwa kwa utaratibu maalumu.
Madereva Watanzania wataokuwa nje ya mipaka hawatahesabiwa, ila madereva wageni wataokuwa ndani ya mipaka watahesabiwa…. SIMPLE.Madereva malori na IT nje ya nchi!
Sio wanaoishi hapa, ni watu 'waliolala' hapo siku ya kuamkia sensa.Kwani si huwa wanapita kila nyumba, wanauliza kuja watu wangapi wanaishi hapa.
Hata kama haupo ili mradi unaishi hapo utahesabiwa.
Wakimaliza wanabandika bango ukutani au mlangoni wanaondoka.