Kuna watu hufa mara mbili

waefeso 6:12

12 Kwa maana kushindana kwetu sisisi juu ya damu na nyama;bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

wewe cheo chako ni kipi hapo?
Waefeso 6:12
 
I once visited mochwari what i remember ni kuwa hata yule jamaa aliyekuwa anapokea na kuosha maiti hakuwa mzima kiakili ~ like mad
Nauhakika lazima alikuwa navuta bangi na wana story za ajabu ajabu

Ila story moja alinipa kiwa huwa wana many source of income kwani kuna watu huwa wanaamini katika maji ya kuosha maiti hivyo wao huwauzia na kujipatia hela kiulaini

GOD'S GRACE IS SUFFICIENT
 
Nafanya kazi mochwari [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Uwongo mtupu why umpige teke? Si umuache aende huo hii uuaji
 
Yeleeewi Yesu na Maria basi nimeacha asante.
Ntakuja unifundishe meditations nimejaribu kufungua jicho la tatu halifunguki. Nimeenda youtube nijifunze nimekuta kuna sauti tu za ajabuajabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Mkuu una moyo wakipekee duh huu nizaidi ya ujasiri ahahaa
 
Kifo kwa baati mbaya wengi hawakijui kiundani. Kuna hatua tano za kufikia ukamilifu wa kifo, ukweli usiojulikana na pasipo kujua watu wengi wamekuwa wakizikwa wakiwa hai. kama hatua tano za kifo hazikukamilika matukio kama maiti kuamka na kutembea, kupiga chafya, kutingishika, kutoka jasho sana na mengine mengi hujitokeza na kuna uwezekano mtu mapigo ya moyo yakashuka, hawezi kufumbua macho wala kuongea walakutikisika lakini anasikia kila kitu mnachoongea . Sababu mojawapo inayofanya watu kudhani wamekufa ni woga wa kuangalia maiti, utaalamu au vifaa duni vya kupimia.
Asilimia kubwa ya watu wanaotajwa wamefufuliwa kwa njia yoyote ile (kama maombezi) wengi wao walikuwa hawajafa.
Nikipata muda nitakuja kufafanua hatua tano za kufa, na wanaofufuka wanafufukaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…