Kuna watu hufa mara mbili

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wazushi kweli nyie kwanini msiiache iondoke unaipiga teke kumalizia kabisa ukisikia uchawi og ndio huu
 
Hamna ambayo imewahi kukuponyoka ikakimbia mkakimbizana ikapotelea kusikojulikana
 
Nasikia kipindi upo mochwari ulikuwa unaandika majina maiti zinazopiga kelele nasikia nyingine ongeaji sana hata kabla ya kifo
 
DUU HII MOVIE YA VAN DAME NA SAIBOGI ..SIJUI DR ANAJIRIDHISHA VP KABISAA MTU KAFA ALAFU AENDE KUFUFUKIA MOTCHWARI THEN KULE MOTCHWARI AZIBULIWE NOCK OUT.. AU DOUBLE KICK AFE KABISAA.. 🤔DUUUUH.
 
hivi jamani.. kule vijijini mtu anapofia nyumbani alafu hakuna cha kupelekwa hospital wala Dr kuja kuhakikisha kwa vipimo.. wazee tuu au YOYOTE anaeaminiwa aminiwa akisema KAFA BASI mipango ya mazishi inaanza fasta mtu anazikwa. haswa haswa waislam. NAHISI BAADHI WANAZIKWA HAI 🤔
 

Lakini hii mambo ya watu kuamka baada ya kifo ni hali ya kawaida na wala sio ya kuogopa.

Ukisoma Death process, utaona kuna Mort Cardiaque( Death of the Heart, when heart stops breathing) na kuna Mort Cerveau ( Brain Death ) when brain stops functioning.

Kifo cha moyo na brain hutokea tofauti, kimsingi mapigo ya moyo yanaanza kusimama kwanza kisha Brain ndio inafuata kwa ku process hiyo information.

So it takes some time kwa baadhi ya brain za watu ku process information kama hizo , Brain inakuwa bado active conscious kupokea mawimbi from this this physical realm . Ndio maana unakuta consciousness inaendelea untill all information has been processed, ndiyo Brain ina stop permanently.

Kama ushawahi kukutana na watu waliolala fofo , halafu usiku anaamka na kusimama kabisa na kuongea vitu anavyojua yeye kisha anarudi tena kitandani, Na Asubuhi ukimwambia Jana ulifanya hivi na vile , atakubishia kabisa hakuna kitu kama hicho na hajafanya.

Kama ushawahi kutumiwa Anesthesia drugs such Propofol, Ketamine, Etomidate, Thiopental , Halothane( The Gas) etc etc you can understand this. These medicines zinaenda ku block consciousness inayo generate information kwenye Nerve System, therefore you don’t feel pain or anything but you are awake and alive.

So this is the way it is, ni just brain tu inavyoprocess information wala hakuna cha kuogopa katika hayo ya maiti.
 
Kimsingi kufa ni kazi sa kuliko kutokufa; na wapo watu wengi sana hawafi ila roho zao ndani ya miili zimekabwa na kubanwa na majinamizi(mashetani maalumu yanayo kaba)
Hivyo mtu kama huyo anakuwa hajafa
 
Kuna siku jamaa yangu alinitania kiutani kwa kunifungia makusudi kwenye mochwari ya hospital ya mkoa wa morogoro Sasa Yale mafriji yakifanya kukukukuku ili kuongeza umeme Mimi nataka kuzimia sitasahau halafu chini sakafuni kulikuwa na maiti tatu moja ya bodaboda alikanyagwa na semi acheni nyie.
 
DUU HII MOVIE YA VAN DAME NA SAIBOGI ..SIJUI DR ANAJIRIDHISHA VP KABISAA MTU KAFA ALAFU AENDE KUFUFUKIA MOTCHWARI THEN KULE MOTCHWARI AZIBULIWE NOCK OUT.. AU DOUBLE KICK AFE KABISAA.. 🤔DUUUUH.
Moja Kati ya njia wanazothibitisha mtu amefariki ni kummulika na tochi flan hivi ndogo ila pia wanachek body temperature
 
Tuna elimu ya asili tena bora kuliko ya mzungu inayotambua wafu na walio katika hali ya kifo
 
Kama ushawahi kutumiwa Anesthesia drugs such Propofol, Ketamine, Etomidate, Thiopental , Halothane( The Gas) etc etc you can understand this. These medicines zinaenda ku block consciousness inayo generate information kwenye Nerve System, therefore you don’t feel pain or anything but you are awake and alive.

So this is the way it is, ni just brain tu inavyoprocess information wala hakuna cha kuogopa katika hayo ya maiti. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
 

Unakosea sana, ukimpiga teke wewe ndio unakua muuaji aseee, muulize kwa utaratibu broo vipi? Wapi tena huko
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakosea sana, ukimpiga teke wewe ndio unakua muuaji aseee, muulize kwa utaratibu broo vipi? Wapi tena huko

Jr[emoji769]
 
Jii ni mpya[emoji3061][emoji3061]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…