Kuna watu humu ndani JF isingekuwa kuchangia threads za watu wasingejulikana

Kuna watu humu ndani JF isingekuwa kuchangia threads za watu wasingejulikana

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
925
Reaction score
550
Sipendi kuwa taja au kuwatag ili wajijue lakin na hakika wengi mnawajua wao kila uzi wamo utaona anaandika rubbish, mara nyambafu mpk unaanza jiuliza nimemkosea nn mpka anatoa maneno ya kashfa?

Wao hawajawahi leta hata thread ila ni vinara wa kuchangia za watu.

Pia najiuliza tu leo hii isingikuwa kadri unavyochangia ndivyo unavyozidi kupanda mfano toka new member mpak jf expert sijui wao ndo wangekua bado new member...

Ila kama hauna issue ya kuchangia kwenye thread ya mtu usimtukane mara mchawi au hana akili.


Ila japo kuna threads zinaboa basi fanya kutoa taarifa si kutukana.
 
Back
Top Bottom