kama mimi mwenyewe nimetafuta jimama langu eti wananipangia na kutaka nitafute msichana wa shule wakati nafsi inataka mtu mzima jaman achen ujinga kipendacho roho hula nyama mbichi kwahyo mtu amependa kutafutia huku watu hawajui kuwa kila mtu na pendekezo lako binafsi mim cpendi wasichana wa mtaani kwetu natafuta mwanamke anaye jisafisha bana Ata nikizama chumvin #kiroho_safi #roho_inapenda