Kuna watu makauzu sana, ila huyu ana Phd!

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
978
Reaction score
1,237
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa.... mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.
Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeye......
Baada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji.
"Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatoka... sorry bae sitaweza kuja kwa leo... sooo sorry!"
Mshkaji jiii! hajajibu kitu.....

Baada ya muda kidogo meseji ikaingia katika simu ya binti, akajua mchizi kajibu. Mh! kutazama ni meseji kutoka Mpesa.

"CA90F0511 IMETHIBITISHWA Tshs 5000 ILIYOTUMWA KIMAKOSA KATIKA ACCOUNT YAKO IMETOLEWA SALIO LAKO NI Tshs 5"

Halafu ndo ikaingia meseji ya mshkaji.
"BASI POA SIKU NYINGINE KAMA VIPI"

#dada wa watu mashavu yakamshuka... hakuamini kilichotokea.... yaani jamaa keshawapigia Voda na pesa fasta imezuiliwa......
JAMANI WADADA kama una nia ya kupiga kirungu uwe unatoa pesa kwanza ndo unatoa excuse... kuna watu wamevurugwa!!!
 
Hii ni noma sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kama mimi sitaenda tena mana ni aibu eti...!
 
ayaaaa mbona unawashtua bana.....
hata hivyo tutabuni njia nyingine
 
Juzi nilituma buku kumi sim ya demu haikupatikana tena hadi saa 4 usiku!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa katisha sana aiseee
 
Hahahah[emoji23] [emoji23]jamaa kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…