Dawa yako wewe ni moja tu. Nakutumia sms, "nipigie kuna mchongo wa hela" tuone kama hautapiga. Kuweni flexible jamani! Kuna wale ndugu wa vijijini anakupigia tu kwa furaha, mpokelee dakika chache ukiona hana jipya, muombe udhuru "samahani kuna ishu nafanya ntakucheki badae"Mtu unamwambia sipendi kupigiwa simu napendelea sms tu mtu bado anasumbua anataka muongee (voice call) mpaka nimemuliza hivi kuna njia moja tu ya mawasiliano ?
Yaani watu hamuwezi kungumza bila sauti zenu kuhusika, ? Watanzania tujifunze kuheshimu haiba za kila mtu mimi binafsi napenda kuandika kuliko kuongea kwenye simu Hiyo ndio haiba yangu wewe kama unapenda kuongea basi heshimu mtu asiyependa kuongea na si kulazimishana na kupeana lawama za kipuuzi.
Watanzania wengine mkoje kwani?