Kuna watu najua tu vigingi hivi vitatu vitawaacha vichwa chini, watagombana na hadi kutafutana uchawi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Kwa Simba SC anaziacha Alama 3

2. Kwa Namungo FC anaziacha Alama 3

3. Kwa Azam FC anaziacha Alama 3

4. Kwa Mbeya City FC anaziacha Alama 2

5. Kwa Biashara United FC anaziacha Alama 2

6. Kwa Coastal Union FC anaziacha Alama 2

7. Kwa Polisi Tanzania anaziacha Alama 2

Na katika ASFC dhidi ya Geita Gold FC si tu anaziacha Alama 3 bali pia anatolewa rasmi katika Mashindano hayo.

Hasira za Kipigo cha Jijini Cotonou tumezihamishia katika Fitina na Roho Mbaya dhidi ya Maadui zetu na anayeamini Wao kuwa Mabingwa huyo hana Ubongo.
 
.
20220313_111139.jpg
 
1. Kwa Simba SC anaziacha Alama 3

2. Kwa Namungo FC anaziacha Alama 3 uwanja wa mkapa
3. Kwa Azam FC anaziacha Alama 3 uwanja unaruhusu yanga kushinda

4. Kwa Mbeya City FC anaziacha Alama 2

5. Kwa Biashara United FC anaziacha Alama 2

6. Kwa Coastal Union FC anaziacha Alama 2 uwanja wa mkapa
7. Kwa Polisi Tanzania anaziacha Alama 2uwanja wa mkapa
Na katika ASFC dhidi ya Geita Gold FC si tu anaziacha Alama 3 bali pia anatolewa rasmi katika Mashindano hayo.

Hasira za Kipigo cha Jijini Cotonou tumezihamishia katika Fitina na Roho Mbaya dhidi ya Maadui zetu na anayeamini Wao kuwa Mabingwa huyo hana Ubongo.

Shekh Yahya umeibuka baada ya kuumbuka kws KMC
 
Nyuzi za wanasimba kujifariji zimekua nyingi mno.
Hapo kabla ya mech na kmc walikua wanasema na kmc ataibonda yanga, leo wameedit tena.

Tutegemee nyuzi 7 kutoka kwako ama lah kila baada ya mechi itakua inabidi uupdate huu uzi wako.
 
1. Kwa Simba SC anaziacha Alama 3

2. Kwa Namungo FC anaziacha Alama 3

3. Kwa Azam FC anaziacha Alama 3

4. Kwa Mbeya City FC anaziacha Alama 2

5. Kwa Biashara United FC anaziacha Alama 2

6. Kwa Coastal Union FC anaziacha Alama 2

7. Kwa Polisi Tanzania anaziacha Alama 2

Na katika ASFC dhidi ya Geita Gold FC si tu anaziacha Alama 3 bali pia anatolewa rasmi katika Mashindano hayo.

Hasira za Kipigo cha Jijini Cotonou tumezihamishia katika Fitina na Roho Mbaya dhidi ya Maadui zetu na anayeamini Wao kuwa Mabingwa huyo hana Ubongo.
hhahahahahahahaahha koloooo ktk ubora wakeee
 
8. Kwa ASEC anaziacha 3
 
Unaizungumzia Yanga hii hii ya kina Mayele?.
Kama kuna Timu inaweza kupata walau Droo ni mechi ya Namungo na Simba tu. Hizo nyingine Yanga itachukua Points zote 3

Wakati nyie mnaloga mnafikiri na wananchi nao watakuwa wamelala?. GSM ilishalipia hadi fedha za Marefarii pale TFF kwa staili ya udhamini na ikakubalika. Kule Bagamoyo wamefunika majina ya washambuliaji ( Boko, Kagere na Mugalu) hawataliona goli hadi ligi iishe). Ni mwendo wa kutetema tu hadi ligi iishe.
 
Back
Top Bottom