Kuna watu ni ndorobo sana hapa duniani..

Plan Of Action

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
462
Reaction score
382
hapa nimeshindwa nimchukulieje huyu jamaa yangu

aisee kanitumia sms hii jioni hii...

eti..'kwenye matangazo ya colgate tunaoneshwa meno, mbona kwenye matangazo ya always hatuoneshwi kitu''?

Hivi nimjibuje?
 
Meno ni sehemu ya wazi, ndio manaa kila mtu akitabasamu au kucheka yanaonekana. K ni sehemu ya siri ndio maana kuiona inabidi iwe kwa makubaliano maalum...
 
Hata wakiamua kuweka,watakuwekea vile vicheche vya buguruni,waekewa ngoma imejaa kutu[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…