Kuna watu sijui wana matatizo gani fgs!

Kuna watu sijui wana matatizo gani fgs!

ledada

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
16,993
Reaction score
65,237
Habari zenyu!

Niende straight kwenye mada kuna baadhi ya watu sijui wana matatizo gani yaani unakuta watu wamepishana kidogo wanaanza kusemeana maneno machafu kuhusu wazazi smdh! Haijawahi nitokea ila hii kitu inakera, inabore na haipendezi hata kidogo. Hebu niulize, Mnatoaga wapi hizo nguvu ffs? Huwa mnajisikiaje? Mnajiona wajanja wenyewe?

Btw mnajijua.

[emoji260]Lesista[emoji41][emoji260]
 
Nani tena huyo kakutukania wazazi Shirooo?

Watu tuko tofauti sana na majitu ya hivyo ni kuyapotezea tu. Pole sana.
 
nimependa sana swaga za muandiko wako bidada...ebu nibip basi niskie sauti yako 0716719130
images

68547946_2348406462090741_7998490768975069184_n.jpg
 
Poa kasmart niaje!?
Sijambo namshukuru Mungu.
Fresh shiro...miss you
Nafurahi kusikia upo salama,Mungu ni mwema[emoji120][emoji120]

Pole aisee,binadamu hatupo sawa,ni kusamehe na kuendelea!
 
Back
Top Bottom