nimependa sana swaga za muandiko wako bidada...ebu nibip basi niskie sauti yako 0716719130
Nani tena huyo kakutukania wazazi Shirooo?Habari zenyu!
Niende straight kwenye mada kuna baadhi ya watu sijui wana matatizo gani yaani unakuta watu wamepishana kidogo wanaanza kusemeana maneno machafu kuhusu wazazi smdh! Haijawahi nitokea ila hii kitu inakera, inabore na haipendezi hata kidogo. Hebu niulize, Mnatoaga wapi hizo nguvu ffs? Huwa mnajisikiaje? Mnajiona wajanja wenyewe?
Btw mnajijua.
[emoji260]Lesista[emoji41][emoji260]
nimependa sana swaga za muandiko wako bidada...ebu nibip basi niskie sauti yako 0716719130
NDO HUYU KUMBE..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umechomoa betri
Fresh shiro...miss youPoa kasmart niaje!?
Sijambo namshukuru Mungu.
MyEeee