Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Niende kwenye mada
Moja kwa moja.....ndg kama Ilivyoandikwa ishini nao kwa akili.
Katika suala hili kiumbe Ke anamambo ya ajabu na mwanaume wkt wote anamchwnganya sana. Siwez kuamini mambo ya ndoa ya mtu wanaolala au waliozaa pamoja kuanika mambo ya ndani kai's hiki...
Wanaume Wajue mambo yanakuwa nje nje sidhan kama Kuna muamnifu ktk hii dunia.
AWali wkt mwanamama analalamika. Utadhani yeye hakosei. Kwa haraka haraka utajua hakuna mkamilifu, mwanaume akirudi anaoga na kulala.....mume akitaka kumlala anapapasa ke ilipo na uduu pa pa pa akimakiza hiyooooo.....
Hivi kama mwanaume unamsikikiza ataachaje kukujali, hakuna mtu katili Moja kwa Moja lazima Kuna sababu kwa nn achukie Kias Cha kutokujali wewe