goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Nimesikia hbr kutoka kwa majirani wenzetu kenya kuwa vijana wawili kutoka Venezuela wamekamtwa kwa kuingia kwenye saver za tume ya uchaguzi IEBC na kuiba kura za odinga HAYO wamelezwa na mawakili wanamteta odinga
Jmn vijan someni na muelewe masomo vzr ona tuvijana kutoka Venezuela wamingilia uchaguzi wa Kenya na huwenda uchaguz utarudiwa kwa sababu ya hao vijana tuwili [emoji23]
Uzi tayari ovaa
Sent from my Iphone13 X6598 series lc 20220701