Uzi tyr👏Nimesikia hbr kutoka kwa majirani wenzetu kenya kuwa vijana wawili kutoka Venezuela wamekamtwa kwa kuingia kwenye saver za tume ya uchaguzi IEBC na kuiba kura za odinga HAYO wamelezwa na mawakili wanamteta odinga
Jmn vijan someni na muelewe masomo vzr ona tuvijana kutoka Venezuela wamingilia uchaguzi wa Kenya na huwenda uchaguz utarudiwa kwa sababu ya hao vijana tuwili [emoji23]
Sent from my Iphone13 X6598 series lc 20220701
Ndio Ni mfupi San watu Ni wavivu kusoma snaUzi tyr[emoji122]
HV Hawa @254 njoo Happ mmeshindwa vip n tujana wa venuzuela kuingilia uchaguzBora urudiwe tu amna namna, ruto ana mkwe wake ni hacker mzur sn mnaija pia alihushishwa kwenye hilo sakata so kazi ipo
Hizo ni tuhuma bado kuthibitishwa! Uliona tangia siku ya baada ya kupiga kura utakumbuka vyombo vya habari vilianza kufanya talling! Baada ya siku mbili nakumbuka Reuters nao walianza kufanya Talling! Tume iliulizwa mbona ninyi mko kimya? Tume ilijibu tunasubiri hard copy zitufikie ili tuweze kulinganisha na hiki tulichonacho then tuanze kujumlisha.Nimesikia hbr kutoka kwa majirani wenzetu kenya kuwa vijana wawili kutoka Venezuela wamekamtwa kwa kuingia kwenye saver za tume ya uchaguzi IEBC na kuiba kura za odinga HAYO wamelezwa na mawakili wanamteta odinga
Jmn vijan someni na muelewe masomo vzr ona tuvijana kutoka Venezuela wamingilia uchaguzi wa Kenya na huwenda uchaguz utarudiwa kwa sababu ya hao vijana tuwili [emoji23]
Uzi tayari ovaa
Sent from my Iphone13 X6598 series lc 20220701
Aisee umeandika vzr hi sasa ndio I we Uzi [emoji23]Hizo ni tuhuma bado kuthibitishwa! Uliona tangia siku ya baada ya kupiga kura utakumbuka vyombo vya habari vilianza kufanya talling! Baada ya siku mbili nakumbuka Reuters nao walianza kufanya Talling! Tume iliulizwa mbona ninyi mko kimya? Tume ilijibu tunasubiri hard copy zitufikie ili tuweze kulinganisha na hiki tulichonacho then tuanze kujumlisha.
Ukiliangalia ili utaona Tume ilikuwa na tahadhari kuwa tusichukue tu yaliyopo kwenye IEBC WEB ila ngoja tusubiri hard copy kwanza ambazo zinaletwa na wasimamizi wa uchaguzi! Huyo wakili alisema hivo kutoka na report ya DCI ambayo imeonyesha kuwa wale Wavenezuela waliingilia mfumo wa IEBC.
Kuna Jaji leo aliwauliza pale Court! Kama hayo yaliyopo kwenye web yalidukuliwa vipi yale ambayo yalisafirishwa na gari mpaka Boma nayo mlijilidhisha kuwa yanatofautiana? Bado hoja haijathibitishwa japo wale Wavenezuela walikuja kweli na walikamatwa kweli ila IEBC walikili kuwatambua na walikili kuwa wale ni maafisa ambao wamekuja kwa kazi maalumu chini ya IEBC! ayah yaliyotokea ata kabla siku ya kupiga kura kufika.
Mawili! Uenda wale Wavenezuela walikuwa na system ya Ulinzi wa mifumo ya IEBC na kuwazuia wadukuzi kudukua mifumo ya IEBC au walikuwa na mishen nyingine ndani IEBC.
🤣🤣🤣