Kuna watu wameapa Lazima waiadhibu Simba Kesho Dhidi ya Singida

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,839
Reaction score
1,902
Habari wakuu….
Kama ilivyokuwa kwa Prison,
Singida habari ambazo hazijathibitishwa ni Tuziite Tetesi ili wasije wakafura tunatoa Siri zao,Kuwa wameapa Safari hii Mnyama hatiki kwa Singida Piga UA.
Inasemekana Singida ni Tawi la jangwani,
nna Hii ndio Mechi ngumu kwa Msimu huu kwa Simba.
 
acheni woga
 

Jinsi ulivyoandika uzi, utadhani kwamba Simba ni timu nzuri sana haina shida yoyote kiufundi uwanjani inayoweza sababisha kufungwa...
 
Mnaanza kuhaha
 
Singida hii haiwezi kuisumbua simba. Kwanza haina kocha anayeweza kubadilisha mbinu pili morali ya wachezaji iko chini baada ya kupokea vipigo mfilulizo. Ningekuwa na bet ningemuua Sindiga mazima.0-3
 
Wakiingia wachezaji 16 au 30 uwanjani basi tutakuwa tumehujumiwa.
Word for women, action for men
 
Jinsi ulivyoandika uzi, utadhani kwamba Simba ni timu nzuri sana haina shida yoyote kiufundi uwanjani inayoweza sababisha kufungwa...
Ila kuna habari zipo Mwanaspoti kuwa Singida inawawania Makocha wa Simba. Yawezekana Singida wameshafika nao makubaliano na ikawa ndio sababu ya hizo zinazodaiwa kuwa ni hujuma.
 
Nyuzi nyingi za malalamiko kuwa Yanga watawafungisha. Hivi nyie Makolo hamuiamini timu yenu hadi mtangulize visingizio. Mpira ni mchezo wa wazi kama kukandwa mtakandwa tu. Halafu nyie Makolo Kwa UCHAWI mmebobea, kila siku nyuzi za uchawi tu. Hiyo timu yenu Singida watainyoosha vizuri subiri muone.
 
Game ni ngumu,lakini wanyaturu watapigika
 
Kolos mpira uwanjani 20% nje ya uwanja 80%,hamna timu isiyofungwa duniani how hilo litimu lenu likifungwa basi limehujumiwa!
 
Mswahili hajifichi utamjua tu hata usipomuona kwa macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…