Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amna , zile kazi zilikuwa danganya toto tuHabari zenu wakuu?
Shirika la posta lilitangaza nafasi za kazi mwaka huu.
Naomba kuuliza majina kama yameshatoka au kuna mtu ameshaitwa kwenye usaili, binafsi sijapigiwa sina sijapata mrejesho wowote tangu nimetuma maombi.
Nawasilisha.
Mkuu, we umepigiwa simu ya interview au hujapigiwa?Pengine kulikuw na ka.mchez kwny zile ajira za poast. Mimi ni mmoj ya walipelek Barua lkn mule ndan ukiingia straight unaend counter kulipia Bahasha then unasepa lkn kulikuw na wadada Kam 10 au 15 hiv walikuw kwny vit pale na Bahasha zao na wao ni waombaji inaonekan. Ila Ch kushangaz WAliambiw na askar kwmb kalipieni mutoke wakasem kun mtu wanamsubir then walipie sas nikajiuliza how come watu 15 wamsubir MTU mmoj then walipie inawezeka ikaw ni mwenzao nikasem hapan. Ila inaonekan na Mtumishi mkubw ndan pale Nd man mlinz alivyoqmbiw alifyat mkia kimya. Sisi wengin tulivyolipia Tu tukafukuzw tutoke. Kw akili ya kawaida zile ajira washapean Tyr ninavyoon.
Sijapigiw mkuu pale tumeliwa elfu 7 zet na garam za Ku certify vyet na usumbuf juuMkuu, we umepigiwa simu ya interview au hujapigiwa?