Pengine kulikuw na ka.mchez kwny zile ajira za poast. Mimi ni mmoj ya walipelek Barua lkn mule ndan ukiingia straight unaend counter kulipia Bahasha then unasepa lkn kulikuw na wadada Kam 10 au 15 hiv walikuw kwny vit pale na Bahasha zao na wao ni waombaji inaonekan. Ila Ch kushangaz WAliambiw na askar kwmb kalipieni mutoke wakasem kun mtu wanamsubir then walipie sas nikajiuliza how come watu 15 wamsubir MTU mmoj then walipie inawezeka ikaw ni mwenzao nikasem hapan. Ila inaonekan na Mtumishi mkubw ndan pale Nd man mlinz alivyoqmbiw alifyat mkia kimya. Sisi wengin tulivyolipia Tu tukafukuzw tutoke. Kw akili ya kawaida zile ajira washapean Tyr ninavyoon.