Tetesi: Kuna watu wamejipanga kumchukulia Fomu ya kugombea Urais Mbowe kama WanaCUF watamchukulia Prof Lipumba!

Tetesi: Kuna watu wamejipanga kumchukulia Fomu ya kugombea Urais Mbowe kama WanaCUF watamchukulia Prof Lipumba!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni tetesi kwamba kuna kundi la Wanachadema Wakiongozwa na Kiongozi mmoja wa Kanda ya Nyasa wamejipanga kumchukulia Fomu ya kugombea uRais wa JMT Mbowe

Tayari Wanachama wa CUF wametangaza kumchukulia Fomu Prof Lipumba

Mbowe, Lipumba na Cheyo ndio Wenyeviti wa kudumu wa Vyama vyao wakiwa madarakani kwa zaidi ya Miaka 20 sasa kila mmoja

Mlale Unono 😀😀🔥
 
Habari ya Lissu kutangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania 2025 imewachanganya sana maccm kuanzia mwenyekiti wao Taifa hadi chawa wake,kutwa nzima humu ni nyuzi za kumshambulia Lissu tu.
 
Habari ya Lissu kutangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania 2025 imewachanganya sana maccm kuanzia mwenyekiti wao Taifa hadi chawa wake,kutwa nzima humu ni nyuzi za kumshambulia Lissu tu.
Kwani Tundu Lisu ni mgombea Urais wa kudumu? 😀
 
Back
Top Bottom