johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Atakwambia Mch Msigwa.Kwani unaogopa nini bwashee?!
Au tuambie kati ya Mbowe na Lissu wewe unataka nani agombee?
Fomu ya kugombea uRais wa JMT mh Mbowe
Mbowe siyo chawa kama Lipumba.Mbowe anaenda kuwa kama LIPUMBA, ashtuke mapema
Mpaka anachosha!John na simulizi za mbowe zisizokwisha.
Tundu Lisu anatoshaKwani unaogopa nini bwashee?!
Au tuambie kati ya Mbowe na Lissu wewe unataka nani agombee?
Kwani Tundu Lisu ni mgombea Urais wa kudumu? πHabari ya Lissu kutangaza nia ya kugombea urais wa Tanzania 2025 imewachanganya sana maccm kuanzia mwenyekiti wao Taifa hadi chawa wake,kutwa nzima humu ni nyuzi za kumshambulia Lissu tu.
Mimi ni team Simba wa Kizimkazi πJohn na simulizi za mbowe zisizokwisha.
πππAtakwambia Mch Msigwa.
Watakuwa wamechelewa maana lisu tayari ameshajitangaza kuwa mgombea wa chademaNi tetesi kwamba kuna kundi la Wanachadema Wakiongozwa na Kiongozi mmoja wa Kanda ya Nyasa wamejipanga kumchukulia Fomu ya kugombea uRais wa JMT mh Mbowe
Utajua Hujui πYohana Mbatizaji wewe ni moja ya watu wa hovyo sana kwenye siasa za humu jamiiforums
Wasema wewe,mimi nimesema Tundu Lissu kutangaza nia imewavuruga wanaccm wengi kuanzia mwenyekiti wao Taifa,hiyo ya ugombea wa kudumu ni tafsiri ya hicho kilevi unachofakamia sasa hivi.Kwani Tundu Lisu ni mgombea Urais wa kudumu? π