Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Can u pse clarifyAlways ni negative energy tu, kwanini sio matajiri?
Always ni negative energy tu, kwanini sio matajiri?
umesema vyema ndg , Big upWote tunajua kuwa hali au matatizo yaliyompata mtu mwingine yanaweza kutupata na sisi.
Au yasitupate.
Ila ukiacha na hayo.
Kuna kaukweli flan kuwa, vitu unavyovizingatia au kuvipa nguvu (hata kwa dhihaka) vinaweza kuvutia hali hiyo katika maisha yako na kukupata kweli.
Hii iwe vitu positive au negative.
Vinaweza kutokea na tumeshuhudia vinatokea.
😀😀 This made my day😃😃😃 ila kumcheka huyo aliyemchekq mwingine halagu yakqmkutq naye si inaruhusiwa?
Tatizo watu mnakimbilia suala la utajiri na umaskini , kuna mambo mengi ya ki afya , ndoa ,uzima n.kMfurahie Elon musk uwe kama yeye , kama unaweza kucheka mtu uwe kama yeye pia si unaweza mfurahia ukawa kama yeye ?
Hii kitu ilinitesa sana utotoni, ati ukimcheka mtu unakua kama yeye.Mfurahie Elon musk uwe kama yeye , kama unaweza kucheka mtu uwe kama yeye pia si unaweza mfurahia ukawa kama yeye ?
Bara letu lina blabla nyingi sanaHii kitu ilinitesa sana utotoni, ati ukimcheka mtu unakua kama yeye.
Nipe mechanism ya kumcheka mtu inavyohamisha tatizo lake lake liwe la kwako , haya namcheka mtu mwenye kitambi hahhahahahahaTatizo watu mnakimbilia suala la utajiri na umaskini , kuna mambo mengi ya ki afya , ndoa ,uzima n.k
Acha tu mkuu, sio poa ni nyingi sio kidogo.Bara letu lina blabla nyingi sana
Ngoja nikucheke wewe mnywa bia na mimi nianze kuzinywa hahahhahaha.Acha tu mkuu, sio poa ni nyingi sio kidogo.
Majuzi watu wameuawa ati wameiba nyeti.
Nikimcheka Mo siwi kama yeye ila nikimcheka mlemavu nakua kama yeye.Ngoja nikucheke wewe mnywa bia na mimi nianze kuzinywa hahahhahaha.
sasa unaona lipi bora/sahihi ?Hii kitu ilinitesa sana utotoni, ati ukimcheka mtu unakua kama yeye.
Hakuna ukweli wowote kwamba ukimcheka mtu unakua kama yeye.sasa unaona lipi bora/sahihi ?
Umenicheka, utakoma kinahamia kwako!Nipe mechanism ya kumcheka mtu inavyohamisha tatizo lake lake liwe la kwako , haya namcheka mtu mwenye kitambi hahhahahahaha
Hakika, pia sio mbaya ukaonyesha kipimo cha utu sio najikwaa unacheka mpaka unaonekana chizi !Hakuna ukweli wowote kwamba ukimcheka mtu unakua kama yeye.