Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Mfurahie Elon musk uwe kama yeye , kama unaweza kucheka mtu uwe kama yeye pia si unaweza mfurahia ukawa kama yeye ?
U got me wrong , sio kwamba ukimchela mtu lazma unakuwa kama yeye , point yangu ni matatizo unayoweza ukamcheka mtu unaweza na wewe ukapitia kwamaana ni changamoto za ki DuniaNipe mechanism ya kumcheka mtu inavyohamisha tatizo lake lake liwe la kwako , haya namcheka mtu mwenye kitambi hahhahahahaha
Ikinichekesha nacheka vizuri tu, ni kwa furaha yangu.Hakika, pia sio mbaya ukaonyesha kipimo cha utu sio najikwaa unacheka mpaka unaonekana chizi !
Nipe mechanism, watu wa taifa mengine wanatucheka kila siku wamatumbi , magonjwa ya ajabu ajabu umaskini wa kutisha maradhi na kutuita shithole , hizo imani sijui huwa mnatoa wapSasa tajiri utamcheka kwa dharau?. Bila shaka hauwez. Kwahiyo hii sio real.
Ila ikimcheka mtu kwa dharau ile ya kweli, its Likely ile energy itakurudia na ww huko mbeleni.
Dunian kuna energy nying sana.
pia kuna law of attraction.
Karma is real.
Hapo sawa ni maneno ya hekima , na kuwa muungwana kwenye jamiiU got me wrong , sio kwamba ukimchela mtu lazma unakuwa kama yeye , point yangu ni matatizo unayoweza ukamcheka mtu unaweza na wewe ukapitia kwamaana ni changamoto za ki Dunia
Tuko pamojaHapo sawa ni maneno ya hekima , na kuwa muungwana kwenye jamii
Eeeh utakeshaUmenicheka, utakoma kinahamia kwako!
Nipe mechanism, watu wa taifa mengine wanatucheka kila siku wamatumbi , magonjwa ya ajabu ajabu umaskini wa kutisha maradhi na kutuita shithole , hizo imani sijui huwa mnatoa wap
Ukimcheka tajiri unakuwa kama yeye? Au ni mpaka umcheke mlemavu au masikini!Can u pse clarify
Mjomba , hakuna kitu kama hicho nakucheka nahakuna kitu kitanitokea , hapa labda tuongelee tu busara, utu na uungwana kwenye jamiiTuwe specific, tusiweke hili kwenye context kubwa kama ishu ya kimataifa.
Tuanzie kwa sisi na sisi.
ww leo hii unaweza ukamcheka masikini, mgonjwa , kilema nk.
But huwez jua maisha yako yatakuwaje huko mbeleni.
Kuna namna universe ina attract energy yako. Na thoughts zako.
Unaweza kila siku ukajisemea mm siwez kuwa hivi na hivi. But one day unaweza kuwa kama vile.
Unaweza ukaaapa na kuapa kuwa huwez fanya kitu flan. Ila kuna siku utafanya.
Kucheka ni jambo la kuonyesha dharau, na jambo la dharau inawezekana siku moja likakupata na ww.
Mtoa mda kaongelea kutomcheka mtu mwenye changamoto ni uungwana , yupo sahihi, ila huku kwingine sijui jinene mema sema mimi ni tajiri ,nakutamkia leo utapata gari lako , hakuna kitu ni kujilisha upepo tuUkimcheka tajiri unakuwa kama yeye? Au ni mpaka umcheke mlemavu au masikini!
Soma vzr elewa sijaandika kuhusu utajiri au umaskini ingawa na vyenyewe vinalengwa na ujumbe , ujumbe unahusu kutofurahia matatizo ambayo mtu mwengine anapitia maana na wewe pia unaweza ukapitia matatizo hayo hayo au hata zaidi ya hayo maana binadamu haijui kesho yake , mfano kuna mtu anaweza akamdhihaki mgonjwa halafu na yeye yakaja kumkuta mazito zaidiUkimcheka tajiri unakuwa kama yeye? Au ni mpaka umcheke mlemavu au masikini!
Ukimcheka tajiri unakuwa kama yeye? Au ni mpaka umcheke mlemavu au masikini!
Ni uungwana tu, ila hata usipofurahia yanaweza kukukuta mazito piaSoma vzr elewa sijaandika kuhusu utajiri au umaskini ingawa na vyenyewe vinalengwa na ujumbe , ujumbe unahusu kutofurahia matatizo ambayo mtu mwengine anapitia maana na wewe pia unaweza ukapitia matatizo hayo hayo au hata zaidi ya hayo maana binadamu haijui kesho yake , mfano kuna mtu anaweza akamdhihaki mgonjwa halafu na yeye yakaja kumkuta mazito zaidi
Mjomba , hakuna kitu kama hicho nakucheka nahakuna kitu kitanitokea , hapa labda tuongelee tu busara, utu na uungwana kwenye jamii
Nilikupa mfano ukakwepa kuujibuKwahiyo hauamini Law of attraction?.
Katika Dini ya ki kristo biblia inakataza kufurahia matatizo ya wengineNi uungwana tu, ila hata usipofurahia yanaweza kukukuta mazito pia
funny sana, ila inategemea unamcheka nani!Ikinichekesha nacheka vizuri tu, ni kwa furaha yangu.
Huoni contents za siku hizi huko mtandaoni, wanaziita pranks, ndio ziko kwa namna hiyo na laana hawapati bali mafanikio huku sisi tunacheka.
Hahhahaa bakhresaπMtoa mda kaongelea kutomcheka mtu mwenye changamoto ni uungwana , yupo sahihi, ila huku kwingine sijui jinene mema sema mimi ni tajiri ,nakutamkia leo utapata gari lako , hakuna kitu ni kujilisha upepo tu