Tetesi: Kuna watu wamepanga kumzomea Haji Manara siku ya wananchi

Tetesi: Kuna watu wamepanga kumzomea Haji Manara siku ya wananchi

Dume zima unajichosha kwenda kumzoea mtu , baada ya kumzoea wanalipwa sh ngapi?
Kwa mujibu wa FIFA, shabiki anapaswa kuachiwa fursa ya kushangilia au kuzomea, ili mradi asivunje taratibu nyingine za soka.
Kwa hiyo watu wanalipa kiingilio kwa ajili ya hayo mawili, na ndio maana huwa haipo kwa shabiki kuadhibiwa kwa kumzomea mtu, ila mchezaji, afisa au kiongozi ukitoa maneno au ishara ya kumkejeli shabiki, jiandae kwa ban
 
Huwezi kuamini tukikuambia uweke hapa FIFA waliposema hiyo kitu utaishia kujizungusha tu.
 
Huwezi kuamini tukikuambia uweke hapa FIFA waliposema hiyo kitu utaishia kujizungusha tu.
Ushahidi ni kwamba hakuna shabiki aliyewahi kushtakiwa FIFA au serikalini kwa kushangilia au kuzomea, na hakuna sheria inayozuia
 
Itapendeza sana,ngoja nianze kuongeza nguvu kwenye tawi langu namm tufanye the same,huyu mpuuzi anakuja kuleta mgogoro Jangwani usio na sababu,na Hersi anguko lake asipokuwa makini atakuwa Manara
 
Haji shule hamna mbona bumbuli na nugaz wametulia.
 
Haji haamini macho yake kinachomtokea, pamoja na Yanga kufanya poa lakini kwa sasa ni mwanachama pekee asie na furaha,

Sema nini nazipenda hizi mada za kumkandia ili ajue bila yeye boli nchini linaenda vizuri zaidi ya sana
 
Back
Top Bottom