Kwa mujibu wa FIFA, shabiki anapaswa kuachiwa fursa ya kushangilia au kuzomea, ili mradi asivunje taratibu nyingine za soka.Dume zima unajichosha kwenda kumzoea mtu , baada ya kumzoea wanalipwa sh ngapi?
Huwezi kuamini tukikuambia uweke hapa FIFA waliposema hiyo kitu utaishia kujizungusha tu.Kwa mujibu wa FIFA, shabiki anapaswa kuachiwa fursa ya kushangilia au kuzomea, ili mradi asivunje taratibu nyingine za soka.
Kwa hiyo watu wanalipa kiingilio kwa ajili ya hayo mawili, na ndio maana huwa haipo kwa shabiki kuadhibiwa kwa kumzomea mtu, ila mchezaji, afisa au kiongozi ukitoa maneno au ishara ya kumkejeli shabiki, jiandae kwa ban
Ushahidi ni kwamba hakuna shabiki aliyewahi kushtakiwa FIFA au serikalini kwa kushangilia au kuzomea, na hakuna sheria inayozuiaHuwezi kuamini tukikuambia uweke hapa FIFA waliposema hiyo kitu utaishia kujizungusha tu.