Kama ni eneo lenye wageni wengi wanaolala kwenye nyumba za wageni, guess ni kuweka nyumba ya wageni ambayo mtu analipia kwa masaa 24, Yaani akiingia saa sita usiku basi atarudisha chumba saa tano usiku, akiingia saa tatu asubuhi ataachia chumba saa mbili asubuhi.
Wateja wanaibiwa sana maana wengine wanaweka muda wa kucheck in saa sita au saba mchana na kucheck out saa nne asubuhi kesho yake.
Yaani masaa 2 - 4 yote ya usafi....