Kuna Watu wana roho mbaya sana duniani!!

Rk10

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
1,216
Reaction score
1,372
Sema kuna Watu wana roho mbaya sana duniani!!!! imagine walikaa kikao wakaamua ikifika SAA NNE kamili asubuhi tufukuzwe gesti!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mida ya kufanya usafi hiyo ili wengine nao watumie.
 
saa 4 ndio muda wa darasa la pili kwenda shule
 
Kama ni eneo lenye wageni wengi wanaolala kwenye nyumba za wageni, guess ni kuweka nyumba ya wageni ambayo mtu analipia kwa masaa 24, Yaani akiingia saa sita usiku basi atarudisha chumba saa tano usiku, akiingia saa tatu asubuhi ataachia chumba saa mbili asubuhi.

Wateja wanaibiwa sana maana wengine wanaweka muda wa kucheck in saa sita au saba mchana na kucheck out saa nne asubuhi kesho yake.

Yaani masaa 2 - 4 yote ya usafi....
 
Check out ya saa nne asubuhi ni kwenye lodge na guest...

Check out ya saa tano au saa sita ni kwenye hotels...



Cc: mahondaw
 
Itabidi tulipeleke kwa Makonda hili swala walau atusogezee muda ili saa 6 iwe ndio mwisho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…