Me nlikua natoa mpakaMuvi ugonjwa mbaya sana, kila nikipata sh 20 tu lazima niende kuchek. Duuh my childhood was so awesome
Nimekula fimbo kichiz kwa faza mkubwa kisa kwenda kucheki video. Kama ningekua naweza ningeenda Hollywood kuchukua kila muv inayotokaMe nlikua natoa mpaka
Ya sadaka mshua ananipa 20
Naaga naenda church kumbe mzee
Nmeenda kukomaa na komando
Kipenz,brusulii,Arnold shozniga
Nlikua spitwi yan aisee
Pole sana mkuu.Haha pole sana.
Mim ninazo nyingi aseh.
Kuna moja nilikuwa morogoro sikumbuki kulikuwa na show ya namna gani pale Jamhuri sijui fiesta 2009/10 sikumbuki. Basi bhana show ikaendlea hadi saa 9 asubuhi. Sasa mimi nikawa nakatisha pale DTB niingie kituo cha sokoni nitafute usafiri niwahi kulala . Ile nakunja kona ilitokea cru ya machalii kama 10 hiv aseeh walinishambulia kinoma. Wengine vuta Shati wakanivua buti moja. Ila nikaing'ang'ania nikafanikiwa kuchomoka nilipotea hizo mbio mbuni haoni.
Chaliake kufika gheto najiangalia nina nundu kama maksai. Hadi leo kwa hilo beef waluguru nawapimiaga tu. Na hao jamaa mungu anawaona
Mkuu naona huyu jamaa hakupendi.Yaani mtu kumi upigane nao afu una wenge la usingizi?. Bora ulikimbia maana tusingekuona Jf.Nilifight sikuweza kuwahimili aseeh ilikuwa nyomi nyomii.
Angalia hata accent sina udaar wowote.