Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Wanasemaga kuimba vizuri kanisani ni sawa na kuimba mara mbili...imagine wewe ni Mungu afu hawa watu wanakuimbia hivi utajisikia vipi mmhh.... Hawa watu wanajiita Mormon tarbenacles Choir wanaimba sijawahi ona. sijui wana sauti za namna gani¸ wamebarikiwa na sauti zao asee.