Kuna watu wana sauti nzuri za kuimba sijawahi kuona. Ona hawa

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Wanasemaga kuimba vizuri kanisani ni sawa na kuimba mara mbili...imagine wewe ni Mungu afu hawa watu wanakuimbia hivi utajisikia vipi mmhh.... Hawa watu wanajiita Mormon tarbenacles Choir wanaimba sijawahi ona. sijui wana sauti za namna gani¸ wamebarikiwa na sauti zao asee.

 
Japokua trap siipendi lakini huyu mwamba katisha, kagonga mwanzo mwisho bila autotune
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…