Kuna watu wanaamini Brahim Diaz alijikosesha penati!!

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,019
Kuna watu wa soka wanaamini Brahim Diaz aliamua kujikosesha makusudi ile penati ili kuwarudisha mchezoni Senegal na isionekane kama wamefanyiwa hujuma.

Mimi nakataa, Diaz kakosa kiuhalisia kabisa. Golikipa Mendy sio mara yake ya kwanza kudaka penati ya panenka.

Alishawahi kudaka penati ya Aguero kwenye EPL kama alivyofanya jana.
 
kama unakataa kwamba penalty ile haikupangwa jiulize yafuatayo

1. Kwa nini wachezzaji wa Senegal hawakuja kumpongeza kipa kwa kudaka ukizingatia mpira ulikuwa dikika za mwisho? katika hali ya kawaida wangekuja kumbeba juu juu
2. Kwa nini Senegal hawakushangilia?
3. Kwa nini wachezaji wa Senegal hawakukimbia golini kuondoa mpira kama kipa atapangua?
4. Kwa nini mchezaji aliyekosa penalt dakika za lala salama hakuonyesha kusikitika?
5. Kwa nini wachezaj wa Morroco walionyesha kukubaliana na penalty ile?
 
Unampongeza kwa penalt gani iliyopigwa pale wewe mzee mboa mnaingia king kwa ishu ndogo saana..
 

SISI WAARABU WA MCHAMBAWIMA NA MAKUNDUUCHI.
 
Mkuu upo sahihi, situation ya Senegal kugoma kuendelea na mchezo ingeleta fedheha kubwa kwa Morocco na CAF, sababu wamebebwa sana. Akashawishiwa Mane awaambie wenzake warudi ili ipigwe penalty feki ziongezwe dk 30 pambano lianze upya. Ndo maana alipiga vibaya makusudi kuua soo. Baada ya pale refa akaanza kuwa fare hadi mwisho. Illa mara nyingi watu wanaojionaga wanajua ndo hua hawajui kama mleta mada.
 
Upo sahihi
 


UONGO MANE ALISHAWISHIWA SAA NGAPI NA NANI? UJUAJI WA KIPUUZI. JAMAA KAKOSA PENALTY. PERIOD.
 
morocco walivyokamia ushindi wafanye upuuzi kama huo? ile alikosa na baada ya kukosa hakuwa sawa mpaka akatolewa!
 
Your browser is not able to display this video.
 
WEWE KILAZA HUJUI KITU.

Your browser is not able to display this video.
 
Mimi ni miongoni mwao!
 
Brahim Diaz hapigagi penalty na mguu wa kulia kama hapo,iyo ni week foot kwake!
Halafu kama kweli alikua ana nia ya kufunga,ile penalty hawezi piga kwa dharau ivo,!
Yani penati ya ubingwa fainali kabisa upige Paneka kweli??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…