Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,871
- 7,347
yamkini hujawahi kucheza mpira jamaa yangu! Mchezaji anapoingia uwanjani ni kucheza mpira kwa kufuata sheria 17 za mpira zinazosimamiwa na mwamuzi! Haiji akilini eti mchezaji mwenye uchu wa kufunga na kunyakua kombe kubwa zaidi eti ajikoseshe kisa kulinda hadhi ya mchezo,huo ni upuuzi mtupu!Diaz alikuwa anapiga penalty ili dakika 30 za nyongeza zitumike kuamua bingwa!!
Ndiyo busara iliyoamriwa hapo baada ya simu nyingi.
Nini kimefanya Senegal wakubali hiyo penalty?
Alitaka kuiga ile "sytle" ya Panenka na ikagoma.Ila jamaa ni mjinga kweli kweli anapiga penalty kanakwamba hakuna goalkeeper langoni😅
Ni mtindo wa upigaji penalty lakini unakuwa wausitisha ule mpira ukiwa hewani kumpoteza maboya kipa na akiruka upande mwingine mpira hutua katikati ya goli na kuwa goli halali kabisa.Panenka ninini?
Nafikiri kila mtu abaki na maoni yake!!Fatilia Panenka penalty toka alienza kupiga wakosaji na wafungaji naona mpira umeanza juzi kufatilia mnataka kila tuta liwe goli..
Na wewe unaamini ndo kajipinda hivyo kupiga penalty ya kuwapa ushindi!?, kilichowarudisha Senegal uwanjani ni nini!?,huna akili na hujui kwamba huna akili(low reasoning capacity)
Nafikiri kila mtu abaki na maoni yake!!
Al ahly walicheza fainal moja na Wydady bahati mbaya kwao uwanja wa fainal ulipangwa kabla utatumika wa Wydad na Timu zote zikafika fainal uwanja wa Morocco Al Ahly akaenda akafungwa pale baadae wakaja kulalamika mechi ziwe mbili kweli Motsepe kwa kutaka kura akarudisha mechi mbili fainal uliona wapi..
Waarabu ndio wanaamua mpira wa Afrika kwa sasa hivi.
Penalty ilikua halali,na goli la Senegal lililokataliwa halikua halali sababu mlinzi alisukimwaMkuu upo sahihi, situation ya Senegal kugoma kuendelea na mchezo ingeleta fedheha kubwa kwa Morocco na CAF, sababu wamebebwa sana. Akashawishiwa Mane awaambie wenzake warudi ili ipigwe penalty feki ziongezwe dk 30 pambano lianze upya. Ndo maana alipiga vibaya makusudi kuua soo. Baada ya pale refa akaanza kuwa fare hadi mwisho. Illa mara nyingi watu wanaojionaga wanajua ndo hua hawajui kama mleta mada.
Endelea kushabikia ccm tu haya mambo hauyajuiPenalty ilikua halali,na goli la Senegal lililokataliwa halikua halali sababu mlinzi alisukimwa
Ndiyo Morocco wanabebwa ila hayo matukio mawili hawakubebwa
Nina CAF leseni c kenge weweEndelea kushabikia ccm tu haya mambo hauyajui
Labda CAF leseni ya upumbavu....eti goli la Senegal mlinzi alisukimwaNina CAF leseni c kenge wewe
Ni aina ya upigaji wa penati ambayo mpiga penati anapiga mpira taratibu(mara nyingi inakuaga pale aliposimama kipa), na kutokana na makipa wengi mawazo yao yanakua ku-dive kushoto au kulia wanajikuta wanafungwa kirahisi. Aina hii ya penati ilipigwa kwa mara ya kwanza miaka mingi iliyopita na mchezaji anaitwa Penanka, tangu hapo ndipo style iyo ya upigaji penati ikawa maarufu na kuitwa penankaPanenka ninini?
Wachezaji wa senegal walishajijua wana hatia. Kitwndo walichokifanya ni utovu wa nidhamu, na nafikiri lazima wataoewa adhabu. Ushindi unaopatikana kihuni huni huwa haupokelewi kwa furaha ukilinganisha na ushindi unaopatikana kihalalikama unakataa kwamba penalty ile haikupangwa jiulize yafuatayo
1. Kwa nini wachezzaji wa Senegal hawakuja kumpongeza kipa kwa kudaka ukizingatia mpira ulikuwa dikika za mwisho? katika hali ya kawaida wangekuja kumbeba juu juu
2. Kwa nini Senegal hawakushangilia?
3. Kwa nini wachezaji wa Senegal hawakukimbia golini kuondoa mpira kama kipa atapangua?
4. Kwa nini mchezaji aliyekosa penalt dakika za lala salama hakuonyesha kusikitika?
5. Kwa nini wachezaj wa Morroco walionyesha kukubaliana na penalty ile?
Kwa hiyo hukuona,kwa nini hakimi alianguka kabla ya mchezaji wa Senegal kupiga kichwa?Labda CAF leseni ya upumbavu....eti goli la Senegal mlinzi alisukimwa
CCM walitakiwa wawapige time simu wairuhusu CHADEMA kushiriki uchaguzi hata kama walikuwa wamegomea kusaini kanuni uchwara za maadili za Kailima.Nasoma comments