Pre GE2025 Kuna watu wanaandikisha Vitambulisho vya Kupiga kura mara mbili na vinatoka

Pre GE2025 Kuna watu wanaandikisha Vitambulisho vya Kupiga kura mara mbili na vinatoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
A

Anonymous

Guest
Huu mfumo hauko sawa na wizi wa kura utaendelea kwa mtindo huu, sijui huu mfumo wameutenegeneza vipi vitambulisho vinatoka na namba ni tofauti.

Kwa hali hii uchaguzi unaokuja utazidi kuwa wa wizi kama Chaguzi nyingine.
 
Kwa maoni yangu hilo suala haliwasaidii. Wowote wale. Kikubwa na labda kibaya kinachoweza kutokea ni kuwa na inflated numbers?

Je ina maana anaweza kupiga kura mara mbili?
 
Back
Top Bottom