A Anonymous Guest Oct 1, 2024 #1 Huu mfumo hauko sawa na wizi wa kura utaendelea kwa mtindo huu, sijui huu mfumo wameutenegeneza vipi vitambulisho vinatoka na namba ni tofauti. Kwa hali hii uchaguzi unaokuja utazidi kuwa wa wizi kama Chaguzi nyingine.
Huu mfumo hauko sawa na wizi wa kura utaendelea kwa mtindo huu, sijui huu mfumo wameutenegeneza vipi vitambulisho vinatoka na namba ni tofauti. Kwa hali hii uchaguzi unaokuja utazidi kuwa wa wizi kama Chaguzi nyingine.
SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,189 Reaction score 7,853 Oct 2, 2024 #2 Kwa maoni yangu hilo suala haliwasaidii. Wowote wale. Kikubwa na labda kibaya kinachoweza kutokea ni kuwa na inflated numbers? Je ina maana anaweza kupiga kura mara mbili?
Kwa maoni yangu hilo suala haliwasaidii. Wowote wale. Kikubwa na labda kibaya kinachoweza kutokea ni kuwa na inflated numbers? Je ina maana anaweza kupiga kura mara mbili?